iqna

IQNA

rais wa iran
Ujumbe
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuwa, wale wote wanaodai kwamba ni wafuasi wa Nabii Issa Masih (as) hawapaswi kuiunga mkono Israel na mauaji yake dhidi ya watoto huko katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478091    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/25

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za pongezi viongozi wa nchi za Kiislamu kwa kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476751    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/24

Kumbukizi ya Shahidi Soleimani
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Wamarekani wanapaswa kujua kwamba watu wa Iran hawataiacha damu ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani iende burE, na bila shaka watalipiza kisasi kwa damu ya shahidi huyo wa ngazi ya juu.
Habari ID: 3476349    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/03

Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA)- Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za pongezi kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Nabii Isa bin Maryam-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-na kuwadia mwaka mpya wa Miladia.
Habari ID: 3476309    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/26

Njama dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya Rais Joe Biden wa Marekani ya kuunga mkono ghasia na machafuko nchini Iran na kusema, "Rais wa Marekani amedai kwamba "tuna mipango ya kuikomboa Iran"; hata hivyo anapaswa kuelewa kwamba Iran ilikombolewa miaka 43 iliyopita na haitatekwa tena na Marekani wala kuwa gombe la kukamuliwa maziwa."
Habari ID: 3476031    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/04

Rais Rouhani wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Iran amelaani hatua ya Saudia kuwazuia Wairani kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu na kusema hatua hiyo ni kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3470348    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/31